Mwanamke huyu ana fanicha nzuri sana na ya kipekee katika bustani lake, fanicha aliyotengeneza kwa kutumia magodoro 43 ya mbao

11111
- Advertisement -

Magodoro ya mbao hupatikana kirahisi sana ndio maana kwa mara nyingi huwa hatufikiri kuwa yanaweza kutumika kwa njia zadi ya tunachofahamu kuwa kazi yao.

Vifaa hivi hutumika kuinua au kubeba vitu vizito na huwa vimetengenezwa kwa mbao. Kwa sababu hiyo huwa havina mwonekano wa kuvutia sana. Hata hivyo, siku hizi, watu wengi hutafuta njia mbadala za kutumia vifaa kama hivi na kwa sababu hiyo, magodoro ya mbao yanaendelea kuwa maarufu kwa matumizi zaidi ya kuwasha tu moto. Kwenye makala haya, tunakuelezea njia nyingine ya kutumia magodoro haya ya mbao. Endelea kusoma kwa sababu hapa waweza kupata msukumo mpya wa kuyatumia haya magodoro kwa njia mbadala.

Magodoro ya mbao yanaweza kutolewa na kutupwa kwa mara nyingi lakini yalikuwa muhimu sana kitambo. Amini usiamini, vifaa hivi vilivyozinduliwa miaka ya kitambo ni mojawapo ya vifaa vilivyofanya shughuli za kusafirisha mizigo kuwa rahisi zaidi. Ukiangalia vifaa hivi vizuri utagunduua kuwa ni vizuri sana kwa kutengenezea fanicha kwa sababu vimeundwa kushikilia vitu vizito.

Mwanamke huyu anahitaji pongezi sana kwa jinsi yeye hujitengenezea vitu mbali mbali peke yake, sanaa inayojulikana kwa kimombo kama DIY. Alitumia tu magodoro ya mbao 43 na uerevu wake na pia talanta yake kwa kazi za mikono kufanya jambo muhimu. Unapoangalia kazi yake, utadhani ni rahisi kukamilisha kazi ile, lakini si rahisi unavyodhani.

Magodoro ya mbao kwa kawaida huwa na mwonekano mkali usiovutia. Alianza kwa kuyasafisha na kisha kuyasugua na kuiga msasa magodoro ya mbao yale yakawa laini. Hii ndiyo ilikuwa shughuli ngumu zaidi kwa sababu ilihitaji upigaji msasa wa mbao kwa kutumia stima. Kwa kweli ni rahisi kununua mbao iliyopigwa msasa tayari dukani lakini alipendelea kuifanya kazi ile mwenyewe.

Baada ya kupiga msasa, aliamua kupaka rangi nyeupe kwa magodoro hayo yote ya mbao. Alitumia kifaa otomatiki cha kunyunyuzia rangi ili kuharakisha kazi ile. Aliendelea kwa kupanga magodoro hayo ya mbao kwenye plastiki akayaacha yaauke kabla ya kuendelea na shughuli ile. Ni wazo zuri kuyafunika magodoro hayo ya mbao ili kuyakinga kutokana na vitu vinavyoweza kuyaharibu yanapowekwa nje. Shamba lake tayari linavutia hata kuzingatia hadi hapa kazi haijakamilika bado.

Kama una haja ya kujua ni nini kile alichoamua kutengeneza, endelea kusoma kwenye ukurasa ufuatao.

- Advertisement -